Sunday, June 12, 2016

Sam Nujoma, raisi wa kwanza wa Namibia, alikua anasafiri na pasipoti ya Tanzania.

Je unajua kwamba Sam Nujoma, raisi wa kwanza wa Namibia, alikua anasafiri na pasipoti ya Tanzania. Huu ni mfano mmoja tu. Pasipoti ya Tanzania ilikuwa kama almasi. Nelson Mandela, Thabo Mbeki, Samora Machel, Robert Mugabe na viongozi wengine wengi walitumia pasipoti na makaratisi ya Tanzania (Tanganyika) kusafiri wakati wa kipindi cha karakati za ukombozi.







No comments:

Post a Comment