Kama miaka sabini na saba iliyopita, Father Stanley, mwalimu mkuu wa St. Mary’s school, alikaa chini kuandika barua ya kumpendekeza Mwalimu Nyerere apate scholarship ya kwenda kusoma United Kingdom. Barua hii iliandikwa mwaka 1948 na ilimsaidia Mwalimu Nyerere kupata scholarship kwenda kusoma Chuo Kikuu cha Edinburgh, Scotland.
This is the letter written by Father Stanley, headmaster of St. Mary’s School, recommending Mwalimu Nyerere for a scholarship program to study in the United Kingdom in 1948.
No comments:
Post a Comment